Baraka ni nini na kuna aina ngapi za baraka?.

Jibu: Baraka ni thawabu ya kipekee itokayo kwa Mungu na kumfikia mtu akiwa hapa duniani. Baraka yaweza kutokana na matendo mtu aliyoyatenda au maombi aliyo