Nini maana ya kusali kwa kupayuka payuka?

Swali linaendelea…..Na Je, nisali kwa namna gani ili maombi yangu yasionekane kuwa ni ya kupayuka payuka mbele za Mungu?   JIBU: Mungu akubariki ndugu, Mathayo 6:7 Inasema:   Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.    Sasa mstari huo ukiangalia … Continue reading Nini maana ya kusali kwa kupayuka payuka?