UFUNUO: Mlango wa 7 & 11

Dalili zote zinaonyesha kuwa tunaishi katika wakati wa kumalizia, kurudi kwa YESU KRISTO mara ya pili kulinyakua kanisa na kuleta utawala mpya hapa duniani