ESTA: Mlango wa 8, 9 & 10. (SIKU KUU YA PURIMU)
Jina la YESU KRISTO BWANA wetu lisifiwe. Karibu kwenye mwendelezo wa kitabu cha Esta, leo tukiwa katika sura za mwisho, yapo mambo mengi ya kujifunza yahusuyo safari yetu ya ukristo tunapopitia kitabu hichi, tunaona mara baada ya Hamani adui wa watu wa Mungu kuuawa, Malkia Esta ananyanyuka tena kumwomba mfalme ayaondoe madhara aliyokusudia juu ya … Continue reading ESTA: Mlango wa 8, 9 & 10. (SIKU KUU YA PURIMU)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed