HUDUMA YA (ELIFAZI, SOFARI, NA BILDADI).

Habari za Elifazi, Sofari, na Bildadi tunazipata katika kitabu cha Ayubu, kama wewe ni msomaji wa biblia utakumbuka kuwa  walikuwa ni marafiki wa Ayubu  wa karibu sana waliokuja kumlilia pale alipopatwa na yale matatizo ambayo tunayoyasoma kwenye biblia. Lakini kabla ya hao kuja tunasoma pia Ayubu alikuwa ni MWELEKEVU sana aliyemcha Mungu na kuepukana na uovu … Continue reading HUDUMA YA (ELIFAZI, SOFARI, NA BILDADI).