KWANINI USIICHAGUE TUZO ISIYOHARIBIKA?
Mara nyingi sana Mungu huwa anazungumza na sisi kupitia maisha yetu ya kawaida tunayoishi kila siku, tunapokosa shabaha ni pale tunapotarajia Mungu aseme nasi kwa njia zile tunazozifahamu, kwamfano, kuona maono au ndoto, unabii au kutokewa na malaika, mambo ambayo sio muda wote Mungu anayatumia kuzungumza na watu wake. Sehemu kubwa Mungu anayotumia kuzungumza na … Continue reading KWANINI USIICHAGUE TUZO ISIYOHARIBIKA?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed