JE! NI KWELI UMEMFUATA YESU?

Tomaso akawaambia.. Yohana 20:25”…, Mimi nisipoziona mikononi mwake KOVU ZA MISUMARI, na kutia kidole changu katika mahali pa MISUMARI, na KUTIA MKONO WANGU KATIKA UBAVU WAKE, mimi sisadiki hata kidogo.” Wengi tunadhani Tomaso alikuwa hatambui anachosema pale alipotoa matamshi kama hayo, lakini ukweli ni kwambaTomaso alitaka kupata uhakika ya kuwa je! Huyu ndiye Yule YESU … Continue reading JE! NI KWELI UMEMFUATA YESU?