JE! UMECHAGULIWA TANGU ASILI?

Waefeso 1 : 4 ” Kama vile alivyotuchagua katika yeye KABLA YA KUWEKWA MISINGI YA ULIMWENGU, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo. Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na urathi wa mapenzi yake.” Mambo yote tunayoyaona sasa katika ulimwengu yalikuwa yameshakusudiwa yawepo kabla … Continue reading JE! UMECHAGULIWA TANGU ASILI?