MTI WA UZIMA NA MTI WA MAARIFA.

Mwanzo 2:8-9 “Bwana Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya. 9 Bwana Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya”. Tukisoma katika mistari hii hapa juu, tunaona kabisa mwanzoni … Continue reading MTI WA UZIMA NA MTI WA MAARIFA.