NI KWA NAMNA GANI TUTASHINDA MAJARIBU?

Kazi kubwa shetani anayoifanya kwa mkristo kila siku ni kutaka kumwangusha katika imani yake hivyo anatumia njia ya majaribu kumwangamiza, majaribu ni vikwazo, na kuna vikwazo vya aina nyingi katika safari ya ukristo ambavyo shetani lazima avilete na sio kila mtu atakutana navyo bali ni mkristo tu aliyeamua kujitoa kikamilifu na kumfuata YESU KRISTO kwa moyo … Continue reading NI KWA NAMNA GANI TUTASHINDA MAJARIBU?