Mungu amekuwa akisema na watu mara nyingi kwa kutumia ishara, kwa kusudi la kuonya au kuhadharisha watu wake jambo ambalo litakuja kutokea endapo watu hawatatubu, wageuke na kuziacha dhambi zao. Kwahiyo Mungu amekuwa akiwatumia watu wake wafanyike ishara ili kizazi hicho kiamini na kutubu, na kwamba kisipoamini na kutubu kitaadhibiwa kwa sababu ya kutokusadiki sauti … Continue reading SAUTI NYUMA YA ISHARA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed