TUTAWEZAJE KUMZALIA MUNGU MATUNDA?

Kuna hatua za kupitia, ambazo ni lazima kila mkristo azipitie ili aweze kumzalia Bwana matunda, Bwana alizifananisha hatua hizi na ule mfano wa MPANZI; Tukisoma Mathayo 13:2-9 ” Wakamkusanyikia makutano mengi, hata akapanda chomboni, akaketi; na ule mkutano wote wakasimama pwani.  3 Akawaambia mambo mengi kwa mifano, akisema, Tazama, mpanzi alitoka kwenda kupanda.  4 Hata … Continue reading TUTAWEZAJE KUMZALIA MUNGU MATUNDA?