KIMBIA! KIMBIA! KIMBIA!

Makanisa yanayohubiri injili ya mafanikio tu. Na kukwambia kuwa uthibitisho wa Mungu kuwa yupo na wewe, ni kuwa tajiri …JIHADHARI NA HILO KANISA! Makanisa yasiyohubiri toba ya msamaha na kuwafanya watu wajione ni kawaida kuishi na dhambi zao…JIHADHARI NA HILO KANISA!..Toba na msamaha ndio kiini cha Imani. Makanisa yanayochanganya NENO la Mungu na siasa na … Continue reading KIMBIA! KIMBIA! KIMBIA!