NYAKATI SABA ZA KANISA NA WAJUMBE WAKE.

NYAKATI SABA ZA KANISA NA WAJUMBE WAKE Tangu kipindi cha Bwana Wetu Yesu Kristo kuondoka duniani mpaka sasa imepita miaka takribani elfu mbili na katika hichi kipindi cha miaka hii elfu mbili kanisa limekuwa likipitia katika vipindi tofauti tofauti saba vinavyoitwa NYAKATI SABA ZA KANISA, kulingana na kitabu cha.. Ufunuo 1:12-20″ Nikageuka niione ile sauti … Continue reading NYAKATI SABA ZA KANISA NA WAJUMBE WAKE.