ALIPO NA ATAKAPOKUWEPO BIBI-ARUSI WA YESU KRISTO.

Wengi tunafahamu habari za Yusufu, tunajua alikuwa ni mmoja wa watoto wa Yakobo aliyependwa sana na baba yake, Lakini baada ya kuota zile ndoto tu, ndugu zake walianza kumwonea wivu, na mwisho wa siku wakaamua kumuuza kama mtumwa kwa watu wa mataifa (Wamisri). Na kama tunavyoisoma habari alipokuwa kule Misri Mungu alikuwa pamoja naye akamfanikisha … Continue reading ALIPO NA ATAKAPOKUWEPO BIBI-ARUSI WA YESU KRISTO.