KAMA UNAPENDA MAISHA, NA KUTAKA SIKU YAKO IWE NJEMA.
Biblia inasema maisha yetu yamefananishwa na chombo chochote kinachoendeshwa chenye usukani, mfano wa vyombo hivi vinaweza vikawa ni: Gari, au Meli, au ndege, n.k. vyote hivi pamoja na kwamba vina uwezo mkubwa na nguvu nyingi ya utendaji kazi, lakini haviwezi kujiongoza vyenyewe pasipo USUKANI. Upepo unaweza ukawa mkubwa sana baharini na usifanikiwe kukipeleka chombo mahali … Continue reading KAMA UNAPENDA MAISHA, NA KUTAKA SIKU YAKO IWE NJEMA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed