LENGO LA SHETANI KWA WATOTO WA KIZAZI HIKI.

Hekima ya dunia hii inasema “Samaki mkunje, angali mbichi”, Hii ikiwa na maana kuwa Samaki akisha kauka hawezi kukunjika tena, ukijaribu kufanya hivyo atavunjika, Na ndivyo ilivyo kwa watoto wetu, Hekima ya Neno la Mungu pia inatumbia, Mithali 22: 6 “Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee”. Neno hili kinyume chake ni … Continue reading LENGO LA SHETANI KWA WATOTO WA KIZAZI HIKI.