TUZO UTAPEWA KULINGANA NA NAFASI YAKO.

Mambo ya asili yanafunua mambo ya rohoni, Bwana Yesu alituambia “wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru. (Luka 16:8)”..Neno hili linatuhusu sisi tulio wakristo, Embu tujifunze mojawapo ya busara walionayo wana wa ulimwengu huu, Mtume Paulo alisema katika “1Wakorintho 9: 24 Je! Hamjui, ya kuwa wale washindanao … Continue reading TUZO UTAPEWA KULINGANA NA NAFASI YAKO.