MAMBO YA KUJIFUNZA KATIKA WARAKA WA TATU WA YOHANA.

Katika Kitabu hichi tunaona Mtume Yohana akiandika barua, kwa mtu, barua ya kumtakia mafanikio katika mambo yake yote, pamoja na afya njema, Hii ni barua ya kipekee sana mbali na barua nyingine zote tunazozijua za mtume Yohana ambazo aliziandika kwa makanisa, mfano ile ya ufunuo wa Yohana n.k. Hii ilihusu kumtakia mtu mafanikio, katika Nyanja … Continue reading MAMBO YA KUJIFUNZA KATIKA WARAKA WA TATU WA YOHANA.