VITA VYA KIFIKRA BAADA YA KUZALIWA MARA YA PILI

Yapo mengi ya muhimu mtu anapaswa kufahamu pindi tu anapozaliwa mara ya pili, vinginevyo shetani atatumia nafasi hiyo kumtesa na kumwangaisha mtu huyo kwa lengo tu la kumfanya auache wokovu mara: na moja ya mambo hayo, ni kumfanya mtuĀ KULIHISI LILE DENI LA DHAMBI BADO LIPO NDANI YA MOYO WAKE. Sasa mtu anapozaliwa mara ya piliĀ [kumbuka, … Continue reading VITA VYA KIFIKRA BAADA YA KUZALIWA MARA YA PILI