MSHIKE SANA ELIMU.

ELIMU ni UFUNGUO wa maisha, hiyo ni kweli, lakini ELIMU ILIYO SAHIHI sio tu ufunguo wa maisha, bali pia ni ufunguo wa kila kitu. Na kwa jinsi elimu ya mtu huyo itakavyozidi kuwa kubwa zaidi ndivyo uwezekano wa mtu huyo kufanya mambo yote unavyozidi kuwa mkubwa zaidi. Kumbuka zipo Elimu kuu tatu zilizopo ulimwengu sasa.  … Continue reading MSHIKE SANA ELIMU.