SIRI YA KUFANIKIWA KWA MTUME PAULO.

Ukisoma biblia kuna maneno  mtume Paulo aliyasema ambayo kwamfano yangetamkwa leo mbele za watu wengi, kimsingi yangeonekana kama ni kufuru. Jaribu kuwazia heshima Mungu aliwayowapa  mitume wake  12, hata kabla hawajaanza  kutumika  Mungu aliwaandaa kwa muda wa miaka 3,ukizingatia maandilizi yao hayakuwa kama haya ya kwetu, wao walipewa nafasi ya juu sana ya kipekee ya … Continue reading SIRI YA KUFANIKIWA KWA MTUME PAULO.