UMEFUNULIWA AKILI?

Je! Umefunuliwa akili?..Baada ya Bwana Yesu kufufuka, tunasoma habari ya vijana wawili waliokuwa wanaenda kijiji kimoja kilichopo mbali kidogo na mji wa Yerusalemu, na walipokuwa njiani wakizungumza habari za kufufuka kwa Bwana biblia inatuambia Bwana wenyewe aliungana nao pasipo hata wao kujua, kwani  macho yao yalifumbwa wasimtambue lakini  baadaye mwisho wa safari yao walikuja  kumtambua..tunasoma … Continue reading UMEFUNULIWA AKILI?