HISIA YA MUNGU ILIYO MBAYA KULIKO ZOTE.

Tabia hizi zote tunazozionyesha zitokazo ndani yetu kwa mfano, furaha, amani, upendo, hasira, ghadhabu, wivu, uchungu, huruma, n.k. asili yake sio sisi bali ni Mungu, kwasababu sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu kama maandiko yasemavyo, hivyo hizi ni baadhi tu ya tabia ambazo Mungu mwenyewe alikuwa nazo kabla hata ya ulimwengu kuwako. Sababu ya Mungu … Continue reading HISIA YA MUNGU ILIYO MBAYA KULIKO ZOTE.