Ulevi ni dhambi?…Shalom, mtu wa Mungu, karibu tujifunze Neno la Mungu, ambapo leo tutajifunza kwa ufupi juu ya unywaji wa Pombe (au ULEVI). Kumekuwa na mgawanyiko wa makundi mengi katikati ya Wakristo; ambapo wapo wanaoamini kuwa unywaji wa pombe sio dhambi na wapo wanaoamini kuwa pombe imehalalishwa katika maandiko. Na kila kundi linadai kuwa na … Continue reading JE! ULEVI NI DHAMBI?.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed