UPONYAJI WA YESU.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu, na leo tutajikumbusha kazi mojawapo ya Yesu Kristo iliyomleta Duniani…Tukiachilia mbali kazi ya UKOMBOZI na KUTUONYESHA NJIA YA KUMWELEKEA BABA..kazi nyingine iliyomleta Bwana duniani ni UPONYAJI. Na uponyaji upo wa rohoni na mwilini. Leo kwa ufupi tutajifunza juu ya uponyaji wa mwili. Yesu … Continue reading UPONYAJI WA YESU.