KWANINI AWE NI PUNDA NA MWANA-PUNDA?

Tukisoma injili ya Mathayo 21:2-7, tunaona Bwana akiwaambia wanafunzi wake maneno haya: “2 Enendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona PUNDA AMEFUNGWA, NA MWANA-PUNDA PAMOJA NAYE; wafungueni mniletee. 3 Na kama mtu akiwaambia neno, semeni, Bwana anawahitaji; na mara huyo atawapeleka. 4 Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, 5 Mwambieni … Continue reading KWANINI AWE NI PUNDA NA MWANA-PUNDA?