AMEFANYIKA BORA KUPITA MALAIKA!

Luka 24:1 ‘‘Hata siku ya kwanza ya juma, ilipoanza kupambazuka, walikwenda kaburini, wakiyaleta manukato waliyoweka tayari. 2 Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi, 3 Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana Yesu. 4 Ikawa walipokuwa wakifadhaika kwa ajili ya neno hilo, tazama, watu wawili walisimama karibu nao, wamevaa nguo za kumeta-meta; 5 nao walipoingiwa na hofu … Continue reading AMEFANYIKA BORA KUPITA MALAIKA!