Jaribu kufikiria mtu amepata ajali ya bodaboda, mguu wake umekatika anatokwa na damu nyingi pale chini na kwa bahati nzuri anatokea msamaria mwema ili kutaka kumsaidia, lakini Yule msamaria alipofika kabla kutaka kumsaidia au kufanya jambo lolote alimtazama kwa makini, ndipo alipogundua mahali tatizo lilipo na bila kupoteza muda alikwenda moja kwa moja kwenye uso … Continue reading CHUJIO HILI NI LA AJABU SANA!
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed