JINSI BWANA ALIVYOWACHAGUA MITUME WAKE.
Jina kuu la YESU KRISTO litukuzwe ndugu yangu. Karibu tujinze maneno ya uzima. Cha kushangaza, Bwana Yesu alipokuwa duniani hakulenga kundi Fulani maalumu la watu ili wawe wanafunzi wake, jaribu kufikiria siku ile alipokesha usiku mzima kumwomba Mungu ampe watu wa kufuatana naye, tulitazamia angekwenda kuchukua watu watakatifu katikati ya waandishi na mafarisayo, lakini cha … Continue reading JINSI BWANA ALIVYOWACHAGUA MITUME WAKE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed