UFUNUO: Mlango wa 18

Tukirejea kwenye ile sura ya 17 tunamwona yule mwanamke KAHABA aliyeketi juu ya yule mnyama mwekundu na kwenye paji la uso wake ana jina limeandikwa kwa “siri” BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI, na tulishaona huyu mwanamke si mwingine zaidi ya KANISA KATOLIKI, lenye makao yake makuu VATICAN, na ni kwanini hajulikani … Continue reading UFUNUO: Mlango wa 18