UFUNUO: Mlango wa 19

Karibu tujifunze biblia na huu ni mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo leo tukiwa katika ule mlango wa 19, Tunasoma.. 1 Baada ya hayo nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, sauti kubwa mbinguni, ikisema, Haleluya; wokovu na utukufu na nguvu zina BWANA MUNGU wetu. 2 kwa kuwa hukumu zake ni za kweli na za haki; … Continue reading UFUNUO: Mlango wa 19