UKWELI UNAOPOTOSHA.

Jina la Bwana wetu Yesu litukuzwe!..Maandiko yanatuambia Yesu ndiye njia, kweli na Uzima mtu hafiki kwa Baba isipokuwa kwa njia yake yeye. Ikiwa na maana kuwa hakuna namna yoyote ya kuiona mbingu nje ya Yesu Kristo, yaani unapoizungumzia mbingu unamzunguzia Bwana Yesu. Yeye ndio lile lango na ufunguo wa kuingia mbinguni(Yohana 10:9-16). Kwa Neema za … Continue reading UKWELI UNAOPOTOSHA.