LILE TUMAINI LILILO NDANI YETU LINAPOULIZIWA.

Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO lisifiwe daima, Nakukaribisha ndugu mpendwa tujifunze maandiko, Leo tutangazia kwa sehemu kitabu cha waraka wa kwanza wa Petro tutaona Neno kuu la msingi ambalo mtume Petro aliwasihi ndugu wote katika Bwana ambao walikuwa wanaishi kama wageni katika mataifa mengi, Ikumbukwe kuwa wakati ule dhiki kuu ilipotokea Yerusalemu, wakristo wakiyahudi walipokuwa wakitafutwa … Continue reading LILE TUMAINI LILILO NDANI YETU LINAPOULIZIWA.