RAHABU.

Shalom mtu wa Mungu, Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo hilo ndilo linalotufanya tuishi mpaka sasa hivi mimi na wewe. Leo, tutajifunza Juu ya huyu mwanamke anayeitwa Rahabu wengi wetu tunaifahamu historia yake, ni mwanamke aliyekuwa kahaba katika nchi ile ya Yeriko, kipindi kile wana wa Israel wanatoka Misri kuelekea nchi ya ahadi, Ikumbukwe kuwa … Continue reading RAHABU.