UFUNUO: Mlango wa 10.

Shalom…Karibu katika mwendelezo wa Kitabu cha Ufunuo..ambapo leo kwa Neema za Bwana tutaendelea na ile sura la 10..Kama hujapitia sura zilizotangulia, ni vizuri ungezipitia kwanza ili tuweze kwenda pamoja katika hizi sura zinazofuata. Katika sura iliyopita tumeona malaika sita wakipiga baragumu zao, na tuliona matukio yaliyoambatana na baragumu hizo, lakini katika sura hiyo hatukuona malaika … Continue reading UFUNUO: Mlango wa 10.