JINSI WATU WANAVYOZAMA KATIKA USHIRIKINA NA UCHAWI.

Uchawi katika Biblia. Mambo yote ambayo biblia imeyataja kama vile, kutazama bao(utambuzi), kubashiri,kuloga kwa kupiga mafundo. Kupandisha pepo/kupunga pepo, kuomba kwa wafu, kusihiri n.k. Yote haya kwa ufupi tunaweza kuyaweka katika kundi moja linalojulikana kama uchawi. Na kazi hii imehasisiwa na shetani mwenyewe, baada ya kuona kuna upungufu wa taarifa Fulani za muhimu zimuhusuzo mwanadamu. … Continue reading JINSI WATU WANAVYOZAMA KATIKA USHIRIKINA NA UCHAWI.