UNALITUMIA KWA HALALI NENO LA KWELI?.
Unaweza ukawa ni mchungaji mzuri,au mwalimu mzuri wa Neno la Mungu, unaweza ukawa una mafunuo mengi na kufahamu mambo mengi, lakini je! Katika huduma yako au utumishi wako unalitumia kwa halali Neno la kweli?. Mtume Paulo alimwambia Timotheo Hata mtu akishindana katika machezo hapewi taji, asiposhindana kwa halali.(2Timotheo 2:5). Unaona? tuchukulie mfano wanariadha, ikiwa mtu … Continue reading UNALITUMIA KWA HALALI NENO LA KWELI?.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed