WALIOITWA NI WENGI, ILA WATEULE NI WACHACHE.
Kama Ukijifunza Biblia kwa undani utagundua kuwa Bwana Yesu hakuwa na wanafunzi 12 tu! Bali alikuwa na wanafunzi wengine wengi sana Zaidi ya 70 biblia inasema hivyo katika (Luka 10:1-2)…Lakini baadaye alikuja kuteua wanafunzi 12 tu miongoni mwao wakutembea naye kila mahali alikokwenda ambao aliwaita Mitume. Sasa kama ukizidi kufuatilia kwa makini, utagundua kuwa Bwana … Continue reading WALIOITWA NI WENGI, ILA WATEULE NI WACHACHE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed