Je! Kiongozi wa dini anaouwezo wa kusamehe dhambi?

SWALI: Je! Ni sahihi kwenda kumfuata kiongozi wa dini kwa mfano Padre na kumpigia magoti kumweleza dhambi zako?.kwasababu imeandikwa “Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa;(Yohana 20:23)” JIBU: Kwa kuongezea hapo Bwana Yesu pia alisema.. Mathayo 16:15 “Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. … Continue reading Je! Kiongozi wa dini anaouwezo wa kusamehe dhambi?