Je! mtu anapofunga kwa muda wa SAA 24,anapaswa kunywa maji au kitu chochote?
JIBU: Biblia haijatoa masharti yoyote ya kufuata katika kufunga kwamba ufunge masaa 12 au 26 au 36 au mwezi,nk.. hapana. Kwasababu kitendo chenyewe cha kufunga ni kitendo kinachotoka rohoni na sio mwilini. Hivyo kwa jinsi mtu atakavyoguswa moyoni au atakapoona yeye mwenyewe umuhimu wa kufunga kwa muda fulani, pengine kutokana na ugumu wa hali fulani … Continue reading Je! mtu anapofunga kwa muda wa SAA 24,anapaswa kunywa maji au kitu chochote?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed