Kuna hukumu za aina ngapi?

JIBU: Kulingana na biblia zinaonekana Hukumu kuu Nne za Mungu mwenyezi zitakazokuja mbeleni.. HUKUMU YA KWANZA:..Ni hukumu ya watakatifu watakaonyakuliwa kwenda mbinguni, hukumu hii siyo ya kulaumiwa wala ya adhabu, bali ni ya thawabu, kila mtakatifu atalipwa kulingana na taabu na Uaminifu wake aliokuwa nao katika kuifanya kazi ya injili akiwa hapa duniani,  2 wakorintho 5:9-10 “Kwa … Continue reading Kuna hukumu za aina ngapi?