Mfano wa wanawali kumi(Mathayo 25), unaelewekaje?

SWALI: Ule mfano wa wanawali 10 (Mathayo 25), wale watano hawakuwa na mafuta ya ziada katika chupa zao je yale mafuta ya ziada yanawakilisha nini? Mathayo 25 : 1-11 “Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi. 2 Watano wao walikuwa wapumbavu, na watano wenye busara. 3 … Continue reading Mfano wa wanawali kumi(Mathayo 25), unaelewekaje?