Watakaodanganywa baada ya miaka 1000,watatoka wapi?
Swali linaendelea….Angali tunajua ndani ya ule utawala kutajawa na watakatifu tu? sasa hawa watu ambao shetani atawadanganya watatokea wapi kama tunavyosoma katika Ufunuo 20:7 “Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake; 8 naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika pembe nne za nchi, Gogu na Magogu, kuwakusanya kwa vita, ambao hesabu yao ni … Continue reading Watakaodanganywa baada ya miaka 1000,watatoka wapi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed