Ni sahihi kumuita Mariamu mama wa Mungu?
Kwa kuwa Bwana Yesu alipitia katika tumbo la Mariamu je! Ni sahihi kumuita Mariamu mama wa Mungu? JIBU: Mariamu alimzaa BWANA kwa namna ya mwili, hivyo wakati Bwana alipokuwa duniani ndio Mariamu alijulikana kama mama wa Yesu, na sio mama wa Mungu. Bwana Yesu alipokuja hapa duniani alikuwa ni Mungu katika mwili lakini hakuja kutafuta … Continue reading Ni sahihi kumuita Mariamu mama wa Mungu?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed