Mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili

SWALI: Bwana alikuwa na maana gani kusema mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili?(Mathayo 5:39) JIBU: Bwana Yesu aliposema mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili na sawasawa na pale aliposema pia “mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.” Kama tunavyofahamu ukiwa kama mkristo ni lazima ukutane na … Continue reading Mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili