Maana ya Mafarisayo Hupanua HIRIZI zao, na kuongeza MATAMVUA yao

SWALI: Naomba kufahamu kwanini Bwana wetu Yesu Kristo kwanini amesema “Waandishi na MAFARISAYO wameketi katika KITI CHA MUSA;” basi YEYOTE watakayo watakayowaambia,MYASHIKE na KUYATENDA;LAKINI KWA MFANO WA MATENDO YAO MSITENDE;maana wao hunena lakini hawatendi.Wao hufunga MIZIGO MIZITO na kuwatwika watu mabegani mwao;WASITAKE WENYEWE KUGUSA KWA KIDOLE CHAO.Kwakuwa hupanua HIRIZI ZAO,huongeza MATAMVUA yao”.(Mathayo23:1-5).? JIBU: Kwanini alisema … Continue reading Maana ya Mafarisayo Hupanua HIRIZI zao, na kuongeza MATAMVUA yao