Ni lazima mtu aongozwe sala ya toba ili awe ameokoka?

SWALI:Kama kijana mmoja yeye alimtuhumu muhubiri mmoja kuwa yeye ana KOSA HAWAONGOZI WATU SALA YA TOBA..Hilo ni kweli unaweza kumhesabia mhubiri kosa kwasababu hawaongozi watu sala ya toba ndugu zangu??Hiyo sala ya toba ikoje ndugu zangu?. JIBU: Wokovu sio suala la kumsaidia mtu kufanya, wokovu ni jambo linalotoka katika moyo wa mtu…Kwasababu neno TOBA lenyewe … Continue reading Ni lazima mtu aongozwe sala ya toba ili awe ameokoka?