Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; Mstari huu unamaana gani?.

JIBU: Zipo thawabu za aina nyingi na tofauti tofauti katika biblia, Kuna thawabu za kukubali kushutumiwa au kuteswa kwa ajili ya Kristo (Luka 6:22),Si wengi wanazipenda hizi, Kuna thawabu ya kutenda mema (Luka 6:35), vilevile kuna thawabu za utumishi (1Wakorintho 3:8), kuna thawabu za wanaomtafuta Mungu kwa bidii tu(Waebrania 11:6), kuna thawabu ya kumfanyia Mungu kitu bila unafki, mfano … Continue reading Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; Mstari huu unamaana gani?.