Tamaa yako itakuwa kwa mumeo.Ni tamaa ipi ya Hawa?
SWALI: Ndugu zangu baada ya yule mwanamke Hawa kuvuka mpaka wa maagazo ya Bwana na kula lile tunda alilokatazwa asile:Baada ya Pale tunaona Bwana akimuadhibu kwa adhabu tofauti-tofauti mojawapo ni kuzidishiwa uchungu wa kuzaa. Nataka kufahamu hii adhabu nyingine hapa anaambiwa [TAMAA YAKO ITAKUWA KWA MUMEO.Mwanzo3:16]-Ni tamaa Ipi hiyo Bwana Mungu aliyozungumzia hapo ndugu zangu? … Continue reading Tamaa yako itakuwa kwa mumeo.Ni tamaa ipi ya Hawa?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed